Lifestyle

Here Are Some Of The Most HILARIOUS Quotes Seen On Matatus

Matatu stickers is wgwre the most hilarious wordings are put, if you’re keen enough while seated in the jav just look around you’ll notice them. Drivers and touts use the cleverly worded quotes to send hitting messages.

Below are some that you’ve either come across or will see;

  • Kutapika ni mia mbili lakini kunyamba ni bure.
  • Chunga mizigo yako uliyekaa naye ni mwizi kama wewe.
  • Lipa fare msichana dereva ameoa na makanga ni gay.
  • Hakuna stage ya kumi,nunua ndizi uslide hadi tao.
  • Kuku kala mchele jioni kuku kaliwa na wali.
  • Nyanyako alikua mrembo na maringo lakini sai boobs zinaangalia viatu.
  • Kwa matatu niite conductor lakini kwa nyumba naitwa sweetie.
  • Akuna stage ya 10bob ata condom zilipand.
  • Salimia watu wa Makaa Gas huisha.
  • Kitambi na mimba, yote ni bidii ya mwanaume.
  • Ungesoma kwa bidii hungekuwa kwa hii matatu.
  • Mea matako ubebwe bure.
  • Ukipenda chips usiogope mimba.
  • Sikai nyuma mimi ni mgonjwa, kwani mbele Kuna daktari.
  • Usiteme mate kwa gari, si una kibeti.
  • Bei haijapanda. Ni wewe umesota.


There's no story that cannot be told. We cover the stories that others don't want to be told, we bring you all the news you need. If you have tips, exposes or any story you need to be told bluntly and all queries write to us [email protected] also find us on Telegram

Related posts

Let ‘Things’ Breathe: Benefits Of Sleeping Naked

nairobi-exposed

How Raila Became Agwambo

nairobi-exposed

Kenya Meteorological Department Warns Against Heavy Rain In The Country

Nairobi Guru

Kebs Probe Kinder Joy Chocolate Over Health Concerns

nairobi-exposed

Elsa Majimbo: I Will Never Return To Kenya

nairobi-exposed

Rev. Lucy Natasha Is Looking For A Man To Quench Her Thirst

nairobi-exposed

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More